Jinsi ya kuua sauti ya kukatisha tamaa iliyo ndani yako.

Rafiki yangu mpendwa kila mmoja wetu huwa ana sauti ya kukatisha tamaa ambayo ipo ndani yake. Ni sauti hiyo ndiyo kikwazo kwa wengi kufanya makubwa. Bila kuua sauti ya ndani, utakuwa unapanga mambo mengi sana, lakini haitakamilika. Maana sauti hiyo haitaki kukuona ukiteseka, itatumia kila ushawishi kuhakikisha husumbuki na mambo makubwa. Tunapaswa kuwa bize sana… Continue reading Jinsi ya kuua sauti ya kukatisha tamaa iliyo ndani yako.

Nguvu wa kuwa mkimya.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini watu wengi huchukulia ukimya kuonekana kama ni kutokujua . Hakuna kitu chenye nguvu kama ukimya, hasa inapotumika vizuri. Kuna nguvu kubwa mbili za ukimya. Moja ikiwa ni kutokuweka wazi mambo yako. Inasemekana kuwa hata mpumbavu akikaa kimya atadhaniwa ni mtu wa hekima. Hakuna kitu kinachowaanika watu kama… Continue reading Nguvu wa kuwa mkimya.

Jinsi ya kuacha kijilinganisha wengine.

Ragiki yangu mpendwa hakuna kitu kinachowaangusha wengi kama kijilinganisha na wengine. Kwa sababu haijalishi umepiga hatua kiasi gani, kuna mtu mwingine ambaye amepiga hatua zaidi yako. Ukianzia kijilinganisha na watu, unaingiwa na wivu kwa kuona wamekuzidi na hilo litaathiri mahusiano yako na watu hao. Sisi binadamu huwa hatuwezi kuficha hisia zetu, hivyo hisia zozote ulizonazo… Continue reading Jinsi ya kuacha kijilinganisha wengine.

Unajua upo zaidi ya unavyojijua?.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini falsafa na mafunzo mengi ya kiroho huwa yanatufundisha kwamba sisi ni zaidi ya tunavyojijua. Kuna nguvu kubwa ambayo iko ndani ya kila mtu, lakini wengi hawajui wala kuifikia kwa sababu wamevurugwa na usumbufu unaowazunguka. Pia wengi haitaki jamii wajue wana nguvu, kwa sababu watakuwa huru na jamii… Continue reading Unajua upo zaidi ya unavyojijua?.

Kuchagua kuwa huru.

Rafiki yangu mpendwa utajiskiaje kama ungepewa uhuru au ungepata uhuru wako mwenyewe, wa kukuwezesha kuendesha maisha yako jinsi unavyotaka. Kitu kigumu kabisa kwenye maisha siyo kufanya unachotaka, bali kujua unachotaka. Hiki ndiyo kigumu kwa sababu hakuna anayeweza kukujiambia nini unataka, ni kitu kinachotoka ndani yako mwenyewe. Sasa kwa kuwa wengi hawajisikilizi na kujua nini wanataka,… Continue reading Kuchagua kuwa huru.

Namna ya kuchagua kubadilika.

Rafiki yangu mpendwa Naval anatuambia kutoka kwenye kitabu chake cha ‘ The Almanack of naval Ravikant’ kwamba nguvu kubwa kwenye maisha ni mtu kuweza kujibadili mwenyewe. Maisha yataenda kama yanavyotaka kwenda yenyewe. Kuna mambo yatakuwa mazuri kwako na mengine kuwa mabaya kwako. Lakini hayo yote ni matokeo ya tafsiri unayojipa kwenye mambo yanayotokea. Sina uhakika… Continue reading Namna ya kuchagua kubadilika.

Namna ya kuchagua kuwa wewe.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini umekuwa unahangaika kujiambia unapaswa kuwa hivi, kufanya kile au kuwa kama wale. Yote hayo huyahitaji. Unachopaswa kufanya ni kile unachotaka kufanya, kile kinachotoka ndani yako na siyo kuiga wengine. Unapochagua kufanya kile unachotaka, kwa kujisikiliza wewe mwenyewe, unakuwa umechagua kuwa wewe. Kama unataka kuwa wa tofauti duniani… Continue reading Namna ya kuchagua kuwa wewe.

Jinsi furaha inavyojenga tabia.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini amani na furaha ni ujuzi ambao kila mtu anaweza kujifunza na kujijengea. Siyo vitu ambavyo mtu anazaliwa navyo au kurithishwa na wala havitokei kwa bahati mbaya, vinatengenezwa. Kila mtu anaweza kujijengea amani na furaha na kukuza viwango vyake kama anaamini inawezekana na kujua hatua sahihi za kuchukua… Continue reading Jinsi furaha inavyojenga tabia.

Umuhimu wa kuwa na utulivu kwenye maisha yako.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini utulivu ni muhimu sana kwenye maisha yako. Blaise Pascal amewahi kusema matatizo yote ya mwanadamu ni matokeo ya mtu kushindwa kukaa peke yake kwa utulivu ndani ya chumba. Pata picha kama ukiweza kukaa peke yako kwa angalau nusu saa na bila ya kusumbuliwa au kuhangaika na chochote… Continue reading Umuhimu wa kuwa na utulivu kwenye maisha yako.

Njia mbili za kuishi maisha yako hapa duniani.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kuna njia kuu mbili za kuishi maisha yako hapa duniani. Njia ya kwanza ni kuishi kama ambavyo watu wanataka wewe uishi, Ufanye yale ambayo watu wanakutegemea uyafanye hata kama sio yanayokufurahisha au sio muhimu kwako. Ufanye kile ambacho kila mtu anafanya hata kama huna msukumo wowote wa… Continue reading Njia mbili za kuishi maisha yako hapa duniani.