Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini katika ulimwengu wa sasa ambao zaidi ya asilimia 99, ya watu hulala na simu zao kitandani. Lakini pia takwimu zinaonesha kuwa asilimia 80 ya watu hushika kwanza simu zao na kuangalia habari, na taarifa mbali mbali kabla ya kuamka na kutoka kitandani. Simu ndiyo inakuwa kitu cha… Continue reading Jinsi hofu ya kupitwa inavyokutesa.
Jinsi ya kuitawala hofu yako.
Rafiki yangu mpendwa, hofu imekuwa kikwazo cha watu wengi kufikia mafanikio yao. Hofu imewazuia watu wengi kufanya maamuzi kama, kuanzisha biashara, kupata kazi, kuzikimbiza ndoto zao na hata kutimiza malengo. Hofu ni kama kansa, ikiwa eneo moja husambaa na kuenea kwenye maeneo yote ya maisha ya mtu. Ukiwa na hofu ya kuongea mbele za watu… Continue reading Jinsi ya kuitawala hofu yako.
Mambo 3 ya kujenga kumbukumbu.
Rafiki yangu mpendwa kumbukumbu ni hitaji muhimu kwenye kuendesha maisha yetu ya kila siku. Hebu fikiria kama kila siku ungekuwa unaamka ukiwa mpya bila kumbukumbu yoyote na inakubidi ujifunze kila siku, maisha yangekuwa magumu sana. Lakini kwa kuwa una kumbukumbu ya mambo mengi, maisha yanakuwa rahisi. Ili kuondoa ukomo kwenye maisha yako, lazima uondoe ukomo… Continue reading Mambo 3 ya kujenga kumbukumbu.
Manufaa 6 yanayotokana na usomaji wa vitabu.
Rafiki yangu mpendwa zipo njia nyingi sana ya kujifunza,lakini njia bora kabisa ni ya kusoma. Sina uhakika kama itakufaa, lakini watu wote waliofanya makubwa kwenye maisha yao, ni wasomaji wakubwa. Ipo kauli inavyosema viongozi ni wasomaji. Hakuna kiongozi bora ambaye siyo msomaji wa vitabu. Changamoto kubwa kwenye usomaji ni kwamba bado watu wanasoma kizamani. Kipindi… Continue reading Manufaa 6 yanayotokana na usomaji wa vitabu.
Sifa zinazowatofautisha wanaofanikiwa na wanaofeli.
Rafiki yangu mpendwa kuna msemo unasema, there is nothing useless as doing efficiently that should not be done at all. Ikimaanisha kuwa hakuna kitu kisicho na maana kama kufanya kwa ufanisi jambo ambalo hukutakiwa kufanya kabisa. Ni kama kuandika majibu ya swali yasiyo yenyewe (O.P) – (Off Point). Wanaofanikiwa na wanaofeli hutofautiana kwenye kufanya au… Continue reading Sifa zinazowatofautisha wanaofanikiwa na wanaofeli.
Sababu 2 za watu kushindwa kufanikiwa.
Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kuna sababu kubwa mbili za watu kushindwa kufanikiwa kwenye mambo yao wanayoyapanga. Mosi, Ni kukosa Nidhamu (Indiscipline) Nidhamu ni uwezo wa kufanya jambo unalotakiwa kufanya bila kujali kama unajisikia kufanya au laa, Ni uwezo wa kufanya jambo muhimu bila usimamizi wala kuhimizwa na mtu yeyote yule. Ni… Continue reading Sababu 2 za watu kushindwa kufanikiwa.
Ni nini chanzo cha hofu.
Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kuna hofu ya nje na ya ndani. Tumelelewa tangu utotoni na woga mwingi si kwa nje tu,bali pia kwa ndani. Hofu ya nje ni kama vile kupoteza kazi, kutokuwa na chakula cha kutosha, kupoteza nafasi yako, bosi wako kuwa na tabia inayo kuumiza. Hofu ya ndani ni… Continue reading Ni nini chanzo cha hofu.
Mambo 10 ya kubadili leo hili kufikia mafanikio makubwa.
Rafiki yangu mpendwa, kila mtu anataka mabadiliko, anataka maisha yake yawe bora, anataka kuwa na kazi au biashara mzuri, anataka kuwa na familia bora,anataka kuwa na uongozi mzuri na mengine mengi mazuri. Lakini linapokuja swala kwamba inabidi mtu abadilike ndio changamoto inapoanza. Kila mtu anataka aendelee kufanya kile ambacho amezoea kufanya, anataka kuendelea na maisha… Continue reading Mambo 10 ya kubadili leo hili kufikia mafanikio makubwa.
Sababu ya kuwa mwangalifu na wale wanaoonekana kuwa wema kwako.
Rafiki yangu mpendwa pata picha kuna mtu unamwamini sana na kumtegemea kwa asilimia zote, kiasi kwamba huwezi ukafanya maamuzi bila ruhusa yake. Utajiskiaje kama mtu uyo anakuhadaa tu mwishowe anakutawala kwa sababu ulimpa nafasi ya kukutawala mwanzoni. Sina uhakika kama itakufaa, lakini kutoka kwenye kitabu cha the fountainhead by Ayn Rand, tunaona jinsi riwaya hii… Continue reading Sababu ya kuwa mwangalifu na wale wanaoonekana kuwa wema kwako.
Sababu nzuri ya kusema hapana.
Rafiki yangu mpendwa Ili uweze kusema hapana kwenye mambo yasiyo sahihi,lazima uwe na mambo sahihi unayosema ndiyo. Sina uhakika kama itakufaa, lakini lazima ndiyo yako iwe kubwa na muhimu kuliko hapana. Utajisikiajie kama utasema ndiyo kwenye mchakato unayofanyia kazi na sema hapana kwa mengine yote ambayo hayasaidii mchakato huo. Kitu kimoja zaidi ni kuwa ndiyo… Continue reading Sababu nzuri ya kusema hapana.