Sababu kubwa ya kujijengea umakini.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini Ili kujijengea umakini mkubwa kwa kitu chochote unachofanya, unapaswa kuweka fikra zako zote kwenye kitu hicho. Kwa kawaida fikra zetu huwa zinazurura hazikai eneo moja kwa muda mrefu. Lakini fikra hizo zinaweza kudhibitiwa na kuwa vile mtu unavyotaka. Katika kuzidhibiti fikra hizo,tambua pale zinapotoka kwenye kile unachofanya… Continue reading Sababu kubwa ya kujijengea umakini.

Njia 3 za kuondokana na usumbufu.

Rafiki yangu mpendwa, usumbufu ndiye adui mkubwa wa umakini. Usumbufu unaoanzia ndani yako unakuzwa usiwe na umakini kwenye kile unachofanya. Hapa kuna njia tatu za kuondokana na usumbufu Ili uweze kuwa na umakini mkubwa. Moja ni kufanya zoezi la kupumua . Kwa kupumua kwa umakini mkubwa, inasaidia akili yako kutoka kwenye usumbufu. Kuna zoezi la… Continue reading Njia 3 za kuondokana na usumbufu.

Mambo 10 muhimu yanayoweza kubadili maisha yako.

Sina uhakika kama itakufaa, lakini rafiki yangu kwa kupenda unachofanya. Unahitaji uwe na hamasa kubwa kwenye kile unachofanya na kuipenda kuliko kitu chochote. Kubadili unachofanya kwa mfano kama unataka kuanzisha biashara, unapaswa ukae chini na kupanga mkakati wa kupata mtaji wa biashara labda ni kupitia kuweka akiba au kuweka fedha za matumizi binafsi iwapo utaacha… Continue reading Mambo 10 muhimu yanayoweza kubadili maisha yako.

Kwa Nini hupaswi kufuata mkumbo?

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini sisi binadamu ni viumbe wa kijamii na hivyo tunaathiriwa sana na imani, mtazamo, fikra na tabia za watu wengine wanaotuzunguka. Tunapokuwa ndani ya kundi,tunajikuta yale yanayofanywa na walio ndani ya kundi hilo bila hata kufikiri. Hivi ndivyo watu wengi hujikuta wakifanya mambo ambayo baadae huyajutia kwa sababu… Continue reading Kwa Nini hupaswi kufuata mkumbo?

Hofu linalotokana na kupenda kufurahisha wengine.

Pata picha rafiki yangu unafanya kazi na wenzako ofisini lakini wanapenda sana kushusha. Ukikosea kidogo wanakusema vibaya kwa bosi yako,hivi utajiskiaje kama watakuwa wanakusema vibaya kila mara na unajua kabisa wanasema uongo juu yako. Bila shaka utajiskia vibaya tena sana na kutamani kubadilisha kazi au kuacha kazi hiyo. Au labda utatamani kujaribu kuwafurahisha wenzako maana… Continue reading Hofu linalotokana na kupenda kufurahisha wengine.

Misingi 6 muhimu ya kujenga uaminifu.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa,lakini kutoka kwenye kitabu cha mwongozo cha how I raised myself from failure to success in selling. Mwandishi anatushirikisha misingi muhimu ya kujenga uaminifu. Misingi huo ni kama ifuatavyo: Rafiki yangu Ili kuaminika na watu au na wateja wako, unapaswa kuwa na mwonekano mzuri, kuvaa vizuri na kuwa nadhifu.… Continue reading Misingi 6 muhimu ya kujenga uaminifu.

Kwa nini haifai kuwafurahisha wengine.

Care about other people think and you will always be their prisoner. LAO TZU. Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa,lakini hapo zamani nilikuwa najaribu sana kuwafurahisha wengine. Yaani thamani ya maisha yangu ilienda sambasamba na jinsi watu wanasema nini juu yangu. Yaani nilienda hatua ya ziada kabisa kwenye kuweka uwezo wangu katika kujaribu kufurahisha… Continue reading Kwa nini haifai kuwafurahisha wengine.

Matatizo 7 yanayotokana na kufikiria yaliyopita

Rafiki yangu kama kila mara akili yako inafikiria yaliyopita, hutaweza kujipatia muda nzuri wa kukaa chini na kupangilia maisha yako vizuri. Utakuwa unazurura bila kutimiza jambo lolote lenye tija. Tatizo la kwanza ni kutoweza kuishi kwenye wakati uliopo. Huwezi furahia wakati uliopo kama bado akili yako inafikiria yaliyopita. Utapoteza fursa nyingi mpya na pia hutaweza… Continue reading Matatizo 7 yanayotokana na kufikiria yaliyopita

Namna ya kuwa mghairishaji mzuri.

Kujifunza kuwa mghairishaji mzuri ni rahisi,lakini kutekeleza siyo rahisi. Hapa kuna msingi ya kuzingatia ili kuweza kutekeleza hilo. Msingi wa kwanza ni kujilipa mwenyewe. Huu ni msingi muhimu sana kwenye eneo la fedha,kwamba unapopokea fedha,ukianza kujilipa mwenyewe kwa kuweka akiba halafu ndiyo matumizi yakafuata,utakuwa na akiba. Lakini ukianza na matumizi kwa kutegemea kinachobaki ndiyo ujilipe,hutabaki… Continue reading Namna ya kuwa mghairishaji mzuri.

Mambo 2 muhumu ya kuzingatia Ili kujijengea msimamo.

Baada ya kutambua na kujua umuhimu wa kijitambua sisi wenyewe kama binadamu, tunapaswa pia kuzingatia msimamo wetu kwenye maisha . Kwani kitu kikubwa kinachowazuia watu kuishi maisha halisi kwao ni kukosa msimamo. Wengi huwa wanabadilika badilika kila mara, kiasi kwamba hawawezi kuaminiwa au kutegemewa kwenye kitu chochote. Wengi ni watu wa kubadili mawazo yao haraka… Continue reading Mambo 2 muhumu ya kuzingatia Ili kujijengea msimamo.