Sababu 7 za kujihurumia.

Rafiki yangu unaweza kuwa unajiuliza kwamba kujihurumia huku ni nini hasa,ni nafasi mbaya ya kichwa tunayoweza kuingia tunapojiskia kuwa hali ya chini. Tunajionea huruma kwa magumu tunayovumilia. Huzuni hii ya kujieleza mara nyingi hutufanya tujisikie vibaya zaidi au kutenda kama kilio cha kuomba msaada,tukitumaini wengine watatuona na kutufariji . Kujihurumia kunajidhihirisha tofauti kwa kila mtu.… Continue reading Sababu 7 za kujihurumia.

Vitu 4 muhimu unavyopaswa kuvijua kuhusu wewe mwenyewe.

Kikwazo kikubwa kinachofanya watu kushindwa kuishi maisha halisi kwao ni kutokujitambua na hivyo kujikuta wakiiga watu wengine. Na hii imekuwa hatari sana kwenye zama hizi ambapo ushauri wa maisha umekuwa mwingi. Wengi wanajikuta wakiiga wengine kwa namna mbalimbali hivyo licha ya kuweka juhudi na muda,bado hawafanikiwi. Ni muhimu sana kujitambua wewe mwenyewe ili uweze kuishi… Continue reading Vitu 4 muhimu unavyopaswa kuvijua kuhusu wewe mwenyewe.

Busara za Babu Warren.

Kutoka kwenye kitabu cha ‘the third door ‘ Alex Banayan anatushirikisha jinsi alivyokutana na wanamafanikio mbalimbali kwenye safari yake ya kutaka kujua nini kiliwafanya wafanikiwe. Baada ya Alex kuhakikishwa mahojiano na Warren Buffett,Alex aliomba kabla hajatuma barua hiyo ajiandae kwanza Ili atakapopata nafasi atumie vizuri. Alienda kusoma kila kitu kinachomhusu Warren Buffett. Alikusanya vitabu 15… Continue reading Busara za Babu Warren.

Mambo 7 ya kujifunza Kwa Warren Buffett.

Tumeshaona jisni ambavyo hatujifunzi somo sahihi kutoka kwa Warren Buffett kuhusu uwekezaji ambalo ni kuanza mapema na kuacha riba mkusanyiko ifanye maajabu yake. Kuna mengine ya kujifunza kwake,hasa ambayo hakuyafanya na hivyo kuepuka kupoteza utajiri wake. Tujifunze Ili tujue vitu vya kuepuka kama tunataka kupata na kubaki kwenye utajiri. Yafuatayo ni mambo mengine muhimu kujifunza… Continue reading Mambo 7 ya kujifunza Kwa Warren Buffett.

Siri kuu ya Warren Buffett.

Warren Buffett ndiye mwekezaji ambaye vitabu vingi zaidi vimeandikwa kuhusu yeye kwenye uwekezaji. Vitabu zaidi ya 2,000 vimeandikwa na vyote vinajaribu kumwelezea Buffet jinsi alivyo mwekezaji bora. Lakini vitabu hivyo havielezi siri moja kubwa kuhusu mafanikio ya Buffet,kwamba alianza kuwekeza tangu akiwa mtoto . Mwaka wa 2020,akiwa na umri wa miaka 90,thamani ya utajiri wake… Continue reading Siri kuu ya Warren Buffett.

Jinsi ya kutambua maono yako.

Rafiki yangu mpendwa karibu sana,kama una ndoto,au unataka kujua maono yako,kumbuka hili. Mungu anapenda watu kama wewe wenye maono. Anapeana maono na anavutiwa sana na watu kama wewe wanaopenda kuota ndoto kubwa . Rafiki yangu usisahau kwamba wewe ni wa tofauti,ni wa muhimu na hakuna atakayeweza kuchukua nafasi yako. Hukuumbwa hili uwe kama wengine. Ukiamua… Continue reading Jinsi ya kutambua maono yako.

Namna ya kubadili kufikiri kusiko sahihi.

Rafiki yangu kuna mambo mengi uliyojifunza siku za nyuma ambayo kwa sasa siyo sahihi tena. Maana muda unakwenda kwa kasi sana na mambo yanabadilika. Kutoka kwenye kitabu Cha “hell yeah or no” jinsi ya kujua thamani kwako kufanya,kilichoandikwa na aliyekuwa mwanamuziki Derek Shivas. Anatushirikisha njia bora ya kurekebisha kufikiri kusiko sahihi. Anatushirikisha kuwa imani zilizokuwa… Continue reading Namna ya kubadili kufikiri kusiko sahihi.

Umuhimu wa kuwa mwaminifu mara zote.

Rafiki yangu mpendwa karibu tujifunze siku ya leo. Wanasema kuwa uaminifu ni sera bora muhimu sana kwenye maisha hasa kazi na kwenye biashara. Wale wasiowaaminifu wanaweza kufanikiwa kwa muda mfupi,ila hawawezi kudumu kwenye mafanikio hayo kwa muda mrefu. Kwa kuwa mwaminifu unaweza ukakosa baadhi ya vitu kwa sasa,lakini hilo litakuweka kwenye nafasi ya kupata makubwa… Continue reading Umuhimu wa kuwa mwaminifu mara zote.

Umuhimu wa kuchagua fursa moja na kuifanyia kazi.

Rafiki yangu nataka leo tujifunze kutokana na tabia ya punda,punda akiwekewa nyasi upande mmoja na maji wa pili anajikuta njia panda . Anakuwa anataka ale nyasi na pia anywe maji. Hivyo atabaki hapo akiangalia ni jinsi gani anaweza kupata vyote kwa pamoja. Kinachotokea ni anakufa kwa njaa na kiu wakati amezungukwa na nyasi na maji.… Continue reading Umuhimu wa kuchagua fursa moja na kuifanyia kazi.