Umuhimu wa kujua kusudi la maisha yako.

Rafiki yangu mpendwa,hatua muhimu katika kujitambua kwenye kuelekea katika ubobezi wako ni kujua kusudi la maisha yako. Wanasema kusudi lakini siyo moja,unaweza kuwa na makusudi mengi na tofauti katika vipindi mbalimbali vya maisha yako. Kwa kuanzia na kipindi cha maisha yako,jua kusudi lako kwa sasa. Hapo ndipo pa kuanzia ili uweze kupambana kufikia ubobezi na… Continue reading Umuhimu wa kujua kusudi la maisha yako.

Je, unajua kuwa hofu siyo kwenye kifo, bali ipo kwenye kuishi?

Karibu rafiki,watu huwa wanasema kitu kikubwa ambacho watu huwa wanakihofia ni kifo,bali hilo siyo kweli. Kitu kikubwa ambacho kila mtu huwa anakihofia ni kuishi maisha yake kwa uhalisia wake. Kwani wengi hawana uthubutu wa kuchagua kuyaishi maisha yao kwa namna wanavyochagua wao,hivyo wanalazimika kujificha kwenye utumwa wa jamii. Tumefundishwa kuyaishi maisha yetu Ili kuwaridhisha wengine,… Continue reading Je, unajua kuwa hofu siyo kwenye kifo, bali ipo kwenye kuishi?

Jinsi ya kutokuumizwa na wengine.

Sisi binadamu huwa tunapenda kuumizana wenyewe,tumeshazoea kuumizwa kiasi kwamba tunawapa watu nafasi mbalimbali za kutuumiza. Na tunafanya hivyo kwa kuchukuliwa Kila kitu binafsi,kila ambacho mtu anafikiri au kufanya ,tunaona anatulenga sisi,hata kama haina uhusiano na sisi wenyewe. Njia kuu ambayo watu wamekuwa wanaumizana ni kupitia uongo ,kila unapoenda,kuna watu watakudanganya kwa namna moja au nyingine… Continue reading Jinsi ya kutokuumizwa na wengine.

Jinsi ya kuyakabili mabadiliko.

Karibu sana rafiki yangu mpendwa, mabadiliko ni sehemu ya maisha ya kila siku. Ni kanuni ya asili kwa vitu kubadilika, hakuna kinachobaki kama kilivyokuwa, mabadiliko ndiyo mwendo wa asili. Lakini sisi binadamu tumekuwa hatupendi hilo ,tumekuwa tunataka mambo yabaki,kama tulivyozoea,kwa sababu mabadiliko yanakuja na vitu vipya. Maendeleo yako na hata mafanikio yako yanatokana na kufanya… Continue reading Jinsi ya kuyakabili mabadiliko.

Jinsi Alex Banayan alivyoshinda bahati nasibu.

Alex mbaye ni mwandishi wa kitabu cha the third door (kitabu kinachoelezea jinsi watu waliofanikiwa sana walivyoanza safari zao za mafanikio) Alex alichagua kuwafuatilia watu waliofanikiwa sana kwenye yale wanaliyofanya kwa lengo la kujua kule walikoanzia. Hilo hakukuwa rahisi lilihitaji uvumilivu na unganganizi wa hali ya juu. Kitu ambacho kilimsaidia kukutana na wengi. Katika harakati… Continue reading Jinsi Alex Banayan alivyoshinda bahati nasibu.

Njia 9 za kutumia Ili kuwashinda wakatishaji tamaa.

Kwa kuchagua kufanya makubwa ili ufanikiwe,Kwa kuchagua kuendelea kujifunza na kujaribu vitu vipya,Utazalisha matokeo ya tofauti, matokeo ambayo hayajazoeleka.Hilo litaleta kwako kundi kubwa la watu ambao watakukosoa na kukukatisha tamaa.Kundi hilo litaonekana kuwa na nguvu na kuwa sahihi kwa namna watakavyokudhalilisha.Lazima uwe imara sana katika kukabili kundi hili, la sivyo hutaweza kufika mbali, utakata tamaa… Continue reading Njia 9 za kutumia Ili kuwashinda wakatishaji tamaa.

Namna ya kufanya mazoezi ya kuchukua hatua hatarishi.

Namna ya kuchukua viwango vya hatua hatarishi ni jambo muhimu na la kipekee sana kwako rafiki yangu. Unapoamua kuongea mbele ya kundi la watu ni jambo la hatari kwa wengine,huku kwa wengine likiwa ni jambo rahisi sana. Rafiki yangu unapaswa ujiulize maswali kama yafuatavyo Ili ikusaidie unapokokotoa viwango vya hatari kwenye maisha yako. Je kuna… Continue reading Namna ya kufanya mazoezi ya kuchukua hatua hatarishi.

Jinsi ya kujitenganisha na dunia.

Tunaishi kwenye dunia ya sasa ambayo tuna muunganiko wa masaa 24 kwa siku 7 za wiki,Ili kuweza kufanya makubwa unahitaji muda wa kujitenganisha. Watu wote ambao wameweza kufanya makubwa kwenye maisha yao ;waliweza kuwa na muda ambayo walijitenganisha kabisa. Katika muda huo hawakuwa na internet, Tv ,simu, redio au watu. Walitenga muda wa kuwa peke… Continue reading Jinsi ya kujitenganisha na dunia.

Tatizo kuu la kisasi cha Sasa.

Kwenye jamii ya kisasa, ubinafsi ni tatizo mkubwa sana,kila mtu anapambana na mambo yake kwa namna yake mwenyewe. Jamii ya asili walikuwa na ushirikiano mkubwa kuliko jamii ya kisasa. Hali hii ya ubinafsi imepelekea matabaka kujengeka baina ya watu kwenye jamii . Tabaka kati ya masikini na tajiri ni kubwa na linazidi kuwa kubwa .… Continue reading Tatizo kuu la kisasi cha Sasa.

Kitu kimoja kinachodhihirisha thamani yako.

Rafiki yangu unaweza kuwa unasema utakavyo ,lakini watu wataamini zaidi kile kile unachofanya. Maneno ni rahisi,kila mtu anaweza kusema atakavyo. Lakini matendo ni magumu na hayo yanadhihirisha kweli mtu anasimamia wapi. Kama kitu ni muhimu kwako utakifanya hutaishia tu kusema nataka hivi,nataka kufanya hiki na hiki. Kama unakitaka kitu kweli utafanya kila namna mpaka ukipate… Continue reading Kitu kimoja kinachodhihirisha thamani yako.