Rafiki yangu mpendwa unajiuliza sasa hivi kuteseka huku kunamaanisha nini haswa? Kuteseka huku ni kuvumilia changamoto unazopitia wakati unapambana, wakati unajituma ili kufikia ndoto zako kubwa kwenye maisha. Kwa hivyo basi, unapaswa kujua kwa nini uteseke, unateseka ili uweze kupata njia ya kutokea na kuboresha mwanzo wako. Kama hauna kwa nini kubwa inayokusukuma kila siku… Continue reading Sababu 5 Za Kujua Kwa Nini Kubwa Za Mbona Wewe Uteseke??
Mambo 5 Muhimu Ya Kuzingatia Kwenye Maisha Yako.
Rafiki yangu mpendwa kwenye kitabu cha 12 rules of life mwandishi Jordan Peterson anatushirikisha mambo muhimu ya kuzingatia katika maisha yetu. Na baadhi ya mambo ambayo mwandishi anatushirikisha ni kama ifuatavyo; Hatua ya kuchukua leo; nenda kuyaishi mambo haya kwa vitendo na utakuja kunishukuru baadaye. Sema ukweli, usifanye kitu unachokichukia. Fanya kwa namna ambavyo utaweza… Continue reading Mambo 5 Muhimu Ya Kuzingatia Kwenye Maisha Yako.
Mambo Ya Kuzingatia Wakati Wa Kuandaa Bajeti.
Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kuweka bajeti inakusaidia kufanikisha mambo mengi ya kifedha kama; kuweka malengo, kujenga nidhamu yako ya kifedha, inakusaidia kuepuka madeni ya kiholela holela, unakuwa na picha kamili ya kile ambacho kitatumika na na kuona halisi ya kifedha. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kuandaa bajeti. Chukua… Continue reading Mambo Ya Kuzingatia Wakati Wa Kuandaa Bajeti.
Utatokaje Kwenye Tabia Hii Ya Kutokusamehe.
Rafiki yangu mpendwa maandiko yanasema hivi kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi. Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu. Utatoka kwenye tabia hii ya kutokusamehe kwa kufanya yafuatayo; Chukua hatua; rafiki katika kusamehe utaishi maisha yenye amani na furaha na itakusaidia kufika kwenye… Continue reading Utatokaje Kwenye Tabia Hii Ya Kutokusamehe.
Utajuaje Una Tabia Ya Kutokusamehe.
Rafiki yangu mpendwa Kutokusamehe ni mlango ambao unafunga mafanikio, baraka na ndoto yako hapa duniani. Aliyewahi kuwa Raisi wa Afrika Kusini Nelson Mandela aliwahi kupitia kipindi kigumu sana kabla ya kuwa Rais ya Nchi hiyo. Moja ya vipindi vigumu alivyopitia ni kufungwa jela kwa miaka 27. Na kipindi yupo gerezani wale askari walikuwa wakimfanya dhihaka… Continue reading Utajuaje Una Tabia Ya Kutokusamehe.
Misingi 11 Ya Charles T Munger.
Rafiki yangu mpendwa karibu sana tujifunze misingi haya ambayo Charles T Munger aliyaishi kwenye maisha yake, ili tuweze kuwa na maisha bora na yenye mafanikio makubwa Mafunzo haya yanatokana na mfumo wa maisha ya Charles ambao unaendeshwa na misingi ifuatayo; Charlie alikuwa anatumia hadithi na vichekesho ili kufikisha ujumbe wake, kitu ambacho kinawafanya watu wamwelewe… Continue reading Misingi 11 Ya Charles T Munger.
Jinsi Ya Kujua Una Tabia Ya Hasira.
Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini tabia ya hasira imepelekea watu wengi kutokufikia kwenye ndoto zao, na wengine wanaichukulia kama sehemu yao ya kujihami endapo changamoto zitatokea kama ugomvi. Watu wengi wenye hasira mara zote siyo watu wanaotumia akili zao kufikiria juu ya changamoto iliyojitokeza mara nyingi wanatumia hisia zao ambazo ni hasira… Continue reading Jinsi Ya Kujua Una Tabia Ya Hasira.
Umuhimu Wa Kuishi Wito Wako.
Rafiki yangu mpendwa kila mtu ana wito fulani ndani yake, asili inayomvuta kufanya zaidi vitu vya aina fulani. Mtu anapofanya kitu cha wito wake, anafurahia, anajituma na anakuwa na hamasa na hachoki katika kufanya. Wale wanaofanikiwa sana ni wale wanaojua wito wa maisha yao na kuuishi kwa viwango vya juu sana. Kujua wito wako, anza… Continue reading Umuhimu Wa Kuishi Wito Wako.
Jinsi Ya Kutofautisha Yaliyo Ndani Na Nje ya Uwezo Wetu Na Mstoa Epictetus.
Rafiki yangu mpendwa mwanafalsafa Epictetus aliweza kujifunza falsafa akiwa mtumwa, kwenye utumwa huo haukumwacha salama bali alipata kilema. Akiwa kilema aliweza kuishi maisha yake kama mstoa, aliweza kuandikia wanafunzi wake falsafa ya kuweza kuishi maisha kwa utulivu mkubwa bila kuyumbishwa na mambo mengine. Baadhi ya mambo yapo ndani ya uwezo wetu na mengine yapo nje… Continue reading Jinsi Ya Kutofautisha Yaliyo Ndani Na Nje ya Uwezo Wetu Na Mstoa Epictetus.
Mambo 35 Ambayo Nimejifunza Kutoka Kitabu Cha (The Excellent Advice For a living). Na Kevin Kelly.
Rafiki yangu mpendwa karibu tujifunze mambo hayo 35 muhimu ya kuishi kila siku kwenye safari yetu ya mafanikio. Mambo haya muhimu ya ushauri muhimu kwenye maisha ni kama yafuatayo; Hatua ya kuchukua tunapaswa kuchukua hatua kwenye mambo haya ambayo tumejifunza leo na kuyaishi mambo haya kwenye maisha yetu. Rafiki yako, Maureen Kemei.