Namna Ya Kujua Kuwa Unaambatana Na Marafiki Wabay( bad company).

Rafiki yangu kuna msemo unasema hivi “Nionyeshe marafiki zako nami nitakuambia tabia yako. Marafiki wana uwezo wa kujenga hatima yako au ndoto yako au wakaua kabisa ndoto yako. Sina uhakika kama itakufaa, lakini watu waliofanikiwa sana kwenye dunia hii ukiwafuatilia ni kwamba waliambatana na watu sahihi ambao waliwasaidia na kuwaonyesha njia sahihi za kufanikiwa hata… Continue reading Namna Ya Kujua Kuwa Unaambatana Na Marafiki Wabay( bad company).

Jinsi Ya Kujua Kuwa Una Tabia Mabaya Ya Matumizi Ya Muda.

Rafiki yangu mpendwa kuna msemo unaosena hivi time is money ikiwa na maana kwamba muda ni pesa. Muda ni moja ya rasilimali kubwa sana kwenye maisha ya mwanadamu katika safari ya kufika kwenye ndoto zako ukilinganisha na rasilimali nyingine, kwa sababu muda ukipita umepita, muda huwa haurudi nyuma ni kama mto ukishuka umeshuka haupandi. Rasilimali… Continue reading Jinsi Ya Kujua Kuwa Una Tabia Mabaya Ya Matumizi Ya Muda.

Jinsi Ya Kubadili Ulivyo jifunza.

Rafiki yangu mpendwa kuna mambo mengi uliyojifunza siku za nyuma ambayo kwa sasa siyo sahihi tena. Muda unakwenda kasi na mambo yanabadilika. Imani zilizokuwa sahihi huko nyuma sasa siyo sahihi tena. Njia zilizokuwa sahihi na nzuri uko nyuma kwa sasa siyo sahihi tena. Kuendelea kung’ang’ana na mambo ya nyuma, kwa sababu tu yalikuwa na manufaa… Continue reading Jinsi Ya Kubadili Ulivyo jifunza.

Jinsi Ya Kujua Kama Una Tabia Ya Kuonewa Huruma.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini tabia hii ni kama imekuwa sugu sana kwa baadhi ya watu. Tabia ya kutaka kuonewa onewa huruma ni tabia inayouwa uwezo wa mtu wa ndani nikimaanisha uwezo wa kuwaza mambo kwa ukubwa na upana zaidi. Uwezo wa kutatua na kutafuta suluhu za changamoto zinajitokeza, uwezo wa kufikiria… Continue reading Jinsi Ya Kujua Kama Una Tabia Ya Kuonewa Huruma.

Mambo 5 Ya Kuangalia Ili Kujua Kama Una Tabia Ya Uvivu.

Rafi yangu mpendwa uvivu ni tabia ambayo mtu anajijengea tu yeye mwenyewe siyo kwamba anazaliwa nayo. Anajitengenezea bila yeye kujua ya kwamba anajitengenezea tabia ambayo itaua kabisa ndoto zake. Yafuatayo ni mambo matano ya kuangalia ili kujua kama una tabia hiii. Ikiwa uunataka kujikwamua kutoka kwenye tabia hii ya uvivu, anza leo kujijengea tabia ya… Continue reading Mambo 5 Ya Kuangalia Ili Kujua Kama Una Tabia Ya Uvivu.

Tabia 4 Za Kujua Kama Una Tabia Ya Ughairishaji Mambo.

Rafiki yangu tabia ya ughairishaji mambo ni tabia ambayo inapelekea mafanikio ya mtu kuishia njiani au kufa kabisa, watu wenye tabia hii ni watu ambao huwa wanaanza upya kila siku mambo yao hawana muendelezo wa mambo waliyoyaanza. Mtu kama huyu ni ngumu sana kumkuta amepiga hatua kwenye malengo yake na siyo kwamba hana muda kabisa… Continue reading Tabia 4 Za Kujua Kama Una Tabia Ya Ughairishaji Mambo.

Mbinu 5 Ya Kulinda Fikra Zako.

Rafiki yangu mpendwa kulinda fikra zako ni hatua muhimu kwa afya ya akili na ustawi wa kiroho. Hapa kuna mbinu mbalimbali za kulinda nakustawisha fikra zako. Kuchukua hatua, kwa kutumia mbinu hizi, unaweza kuimarisha uwezo wako wa kudhibiti fikra zako, kuepuka msongo wa mawazo, na kuishi maisha yenye amani na uwazi wa kifikra. Rafiki yako,… Continue reading Mbinu 5 Ya Kulinda Fikra Zako.

Kwa Nini Hufai Kuahirisha NdotoZako?

Rafiki yangu mpendwa kila mtu ana ndoto kubwa kwenye maisha yake. Kuna picha ambayo kila mtu anayo ya namna maisha yako yanataka yawe. Lakini kwa bahati mbaya sana, wengi wamekuwa wakiahirisha ndoto zao kila wakati. Wakijua kabisa wanapaswa kufanya nini, lakini wanaahirisha na kujiambia hawajawa tayari au muda bado. Tunajua jinsi ambavyo hatuna muda wa… Continue reading Kwa Nini Hufai Kuahirisha NdotoZako?

Mambo Ambayo Nimejifunza Mwezi Huu Wa Tisa Kuhusu Utajiri.

Rafiki yangu mpendwa karibu sana nikushirikishe yale ambayo nimejifunza mwezi huu wa tisa kuhusu kujenga utajiri na Doctor Kocha Makirita Amani. Jambo la kwanza ni kujua tatizo ambalo watu wengi wanalo na wapo tayari kulipia kutatua. Jambo la pili ni kutatua matatizo kwa uhakika kiasi cha kila mwenye nalo kutaka suluhisho hilo. Jambo la tatu… Continue reading Mambo Ambayo Nimejifunza Mwezi Huu Wa Tisa Kuhusu Utajiri.

Mambo 8 Ya Kuzingatia Ili Kuongeza Bahati Yako Kwenye Maisha Yako ( falsafa ya ustoa)

Rafiki yangu mpendwa habari njema ni kwamba siku ya leo tuna bahati nzuri kabisa, na bahati iyo ni hii hapa. Kwamba leo nakushirikisha jinsi ya kuongeza bahati kwenye maisha yako. Usiwe na wasiwasi wowote kwa maana falsafa hii imekuwapo tangu ni falsafa ya kutokudharau kitu chochote na pia kutokuamini kitu chochote. Mwanafalsafa Epictetus anatukumbusha kutoka… Continue reading Mambo 8 Ya Kuzingatia Ili Kuongeza Bahati Yako Kwenye Maisha Yako ( falsafa ya ustoa)