Karibu Katika kujifunza zaidi kuhusu changamoto zinazotukabili karne hii ya 21, kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century, ambacho kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Kumekuwepo na sinema nyingi ambazo zinaonesha hali itakavyokuwa baadaye. Baadhi ya sinema hizi kama the matrix zimekuwa zinaonyesha nguvu kubwa ya teknolojia kuja kudhibiti na kutawala wanadamu.… Continue reading 50/100. Wakati ujao siyo kama tunavyoona kwenye sinema.
49/100. Habari ya uongo unadumu muda mrefu.
Karibu, katika kujifunza zaidi kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century. Leo tukiwa changamoto ya 16 kati ya 21 ambayo mwandishi Mwana historia Yuval Noah Harari ametushirikisha. Changamoto nyingine kubwa kwenye karne ya 21 imekuwa ni habari za uongo au kama ambavyo imekuwa ikichulikana kama fake news. Imechochewa zaidi na urahisi wa kuzambaa… Continue reading 49/100. Habari ya uongo unadumu muda mrefu.
48/100. Maana tuliyonayo kwenye haki imepitia na wakati.
Karibu Katika kujifunza kwetu kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century, ambapo leo tupo kujifunza changamoto ya 15 kati ya 21. Tumeshirikishwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Dhana ya haki ni changamoto kubwa kwenye karne ya 21,hasa wakati ambapo nguvu ya dini inapungua na teknolojia inakua kwa kasi. Dhana ya haki tuliyokuwa… Continue reading 48/100. Maana tuliyonayo kwenye haki imepitia na wakati.
47/100. Unajua kidogo mno kuliko unavyofikiri.
Karibu, katika kujifunza zaidi kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Kwa kuwa tunaishi zama za taarifa ambapo maarifa yanapatikana kwa urahisi, watu wengi wamekuwa waifikiri wanajua sana. Watu wamekuwa wakiamini wanafikiri kwa kina na kufanya maamuzi sahihi. Lakini tafiti zinaonesha huo siyo ukweli. Maamuzi mengi… Continue reading 47/100. Unajua kidogo mno kuliko unavyofikiri.
46/100.Kutambua kivuli cha mfumo wa kidunia.
Karibu, katika kujifunza changamoto ya karne ya 21, leo ikiwa tupo changamoto ya 14. Kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century ambacho kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Baada ya dini kushindwa, kutokana na machafuko mengi kuhusishwa na dini, njia bora ya kuendesha nchi na hata jamii imekuwa ya kidunia, kwa kutokuegemea… Continue reading 46/100.Kutambua kivuli cha mfumo wa kidunia.
45/100. Kutotaja bure jina la Mungu.
Pongezi Mwana mafanikio kwa kuzidi kujifunza kila siku. Hilo ndilo muhimu zaidi katika kulisha akili zetu, kama tufanyavyo kwa mwili. Leo tupo changamoto ya 13 kati ya 21 ambazo tunajifunza kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Changamoto nyingine kubwa karne hii no uwepo wa Mungu.… Continue reading 45/100. Kutotaja bure jina la Mungu.
44/100. Hakuna aliye kitovu cha dunia.
Siku nyingine ya ushindi, tunaenda kujifunza zaidi kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century, ambacho kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Mwandishi anasema kuwa, changamoto kubwa ya karne hii ni unyenyekevu. Wengi wamekuwa wakiamini wao ni bora zaidi kuliko wengine,kuanzia kwenye ngazi ya jamii, dini na hata taifa. Hali hii ya kujiona… Continue reading 44/100. Hakuna aliye kitovu cha dunia.
43/100. Changamoto ya vita.
Karibu, katika kujifunza kwetu kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Leo tupo changamoto ya kumi ambapo mwandishi anatushauri kuwa, tusichukulie poa upumbavi wa mwanadamu. Vita ni changamoto nyingine kubwa katika karne hii, japo hakuna vita kubwa ambayo imewahi kuwepo hapa duniani tangu kumalizika kwa vita… Continue reading 43/100. Changamoto ya vita.
42/100.Tusiwe na hofu ya magaidi.
Hongera kwa Kuendelea kujifunza, leo tupo katika changamoto ya kumi kati ya 21. Ambapo Mwana historia Yuval Noah Harari, ametushirikisha katika kitabu chake cha 21 lessons for the 21st century. Hofu kubwa inayowatawala watu kwa sasa, kuanzia uongozi wa jumuia za kimataifa, uongozi wa nchi na hata mwananchi mmoja mmoja ni ugaidi. Magaidi wameweza kutumia… Continue reading 42/100.Tusiwe na hofu ya magaidi.
41/100.Baadhi ya tamaduni ni bora kuliko wengine.
Karibu, katika uendelezo wa kujifunza kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Leo tupo changamoto ya nane kati ya 21 ambayo mwandishi ametushirikisha,ambayo inahusu uhamiaji changamoto nyingine kubwa sana katika karne hii. Tangu enzi na enzi, kumekuwa na mwingiliano baina ya jamii, watu kutoka eneo moja… Continue reading 41/100.Baadhi ya tamaduni ni bora kuliko wengine.