23/100.Tabia ya tano ;tengeneza ushawishi.

Habari

Nikukaribishe tuendelee kujifunza kuhusu tabia ya tano leo, kati ya tabia sita, ambazo kocha Brendon Burchard anatushirikisha katika kitabu chake cha high performance habits (how extraordinary people become that way).

22/100.Tabia ya nne ;ongeza uzalishaji (tija).

Habari Karibu katika uendelezo wa kujifunza tabia zinazoweza kutufikisha kwenye mafanikio makubwa. Tukijifunza kutoka kitabu cha high performance habits, (how Extraordinary people become that way) ambacho kimeandikwa na kocha wa mafanikio Brendon Burchard. Leo tunaangazia tabia ya za kijamii. Kundi la pili kwenye tabia sita za mafanikio ni tabia za kijamii, tabia ambazo zinawahusisha watu… Continue reading 22/100.Tabia ya nne ;ongeza uzalishaji (tija).

20/100.Tengeneza nguvu.

Habari Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu cha high performance habits, how Extraordinary people become that way. Kilichoandikwa na kocha Brendon Burchard. Leo tunaangazia tabia ya pili ya kati ya tabia sita ambazo Brandon anatushirikisha, zitakazotuwezesha kufikia ubobezi na mafanikio kwa ujumla, nenda nami taratibu tupate kuielewa tabia hizi ahsante. KUTENGENEZA NGUVU. Mafanikio yako ni matokeo… Continue reading 20/100.Tengeneza nguvu.

19/100.Tabia zitakazotufikisha kwenye mafanikio makubwa.

Habari Nikukaribishe sana rafiki tujifunze tabia hizi zinazoweza kutufikisha kwenye mafanikio makubwa, tukilielewa vizuri na kuchukua hatua. Kwenye kitabu cha high performance habits (how extraordinary people become that way). Brandon Burchard anatushirikisha tabia sita zitakazotuwezesha kufikia mafanikio makubwa sana kwenye maisha yetu. Brandon anatushirikisha tabia hizi kutokana na uzoefu wake binafsi, baada ya kuwakochi watu… Continue reading 19/100.Tabia zitakazotufikisha kwenye mafanikio makubwa.

18/100.Tabia zinazowafisha watu kwenye mafanikio.

Habari Nikukaribishe Mwana mafanikio leo tunaangazia kitabu cha ;High performance habits,how extraordinary people become that way ambacho kimeandikwa na kocha wa mafanikio Brendon Burchard. KANUNI ZA ZAMANI HAZIFANYI KAZI. Watu wengi wamekuwa wakijifunza kanuni hizo za mafanikio, ambazo zote zimejengwa kwenye msingi wa fanya kazi kwa juhudi, penda sana unachofanya, jitume kuliko wengine, kuwa na… Continue reading 18/100.Tabia zinazowafisha watu kwenye mafanikio.

17/100.Hazina ipo kule ulipotoka.

Habari Karibu sana katika uendelezo wa somo letu la kutafuta hazina ya maisha. Tukiongozwa na kitabu cha ‘the alchemist’ kilichoandikwa na Paulo Coelho. Santiago alifika chini ya mapiramidi na kuanza kuchimba akitafuta hazina yake, wakati anaendelea kuchimba walikuja watu ambao walimnyang’anya dhahabu aliyokuwa nayo na kumpiga vibaya. Baada ya kugundua hakuna kitu kingine cha thamani… Continue reading 17/100.Hazina ipo kule ulipotoka.

16/100.kuelekea kwenye hazina.

Habari Karibu sana tuendelee na kujifunza kwetu kuhusu safari ya kupata hazina ya maisha, tukiongozwa na kitabu cha ‘the alchemist’ kilichoandikwa na Paulo Coelho. Baada ya kupitia hatari mbalimbali Santiago na Alchemist walifika kwenye mapiramidi. Na hapo Alchemist alimwacha Santiago amalize safari yake mwenyewe. Lakini hakumwacha hivi hivi tu, alitumia ujuzi wake kugeuza madini ya… Continue reading 16/100.kuelekea kwenye hazina.

15/100.Unahitaji kufanya miujiza hili kupona.

Habari Karibu katika uendelezo wa somo letu la kutafuta hazina ya maisha, tukiongozwa na kitabu cha “the alchemist “kilichoandikwa na Paulo Coelho. Wakati Santiago na alchemist wanaendelea na safari, walikamatwa na moja ya makundi ya wapiganaji, na wakawatuhumu kwamba ni wapelelezi, ambao wametumwa na maadui na hivyo wanapaswa kuuawa. Alchemist aliwaambia wapiganaji wale kwamba wao… Continue reading 15/100.Unahitaji kufanya miujiza hili kupona.

14/100.lazima kuchukua hatari.

Habari Karibu sana tuendelee na kujifunza kwetu kuhusu safari ya kupata hazina ya maisha. Tukiongozwa na kitabu cha ‘the alchemist’ kilichoandikwa na Paulo Coelho. Ilionekana vita inachukua muda mrefu na hivyo msafara hauwezi Kuendelea. Alchemist alimwendea Santiago na kumwambia inabidi aendelee na safari yake licha ya kuwepo kwa hatari ya vita. Alimwambia auze ngamia aliyenaye… Continue reading 14/100.lazima kuchukua hatari.