8/100. Je una uhuru wa kujitegemea wewe mwenyewe?.

Habari Karibu katika uendelezo wa kuchambua na kujifunza kutoka kitabu cha the alchemist kilichoandikwa na Paulo Coelho. Leo tunaangazia safari ya kijana Santiago kwa kuwaangalia kondoo wake, alipata wazo kwamba kondoo wale walikuwa wanamwamini sana kwa sababu kila siku aliwapatia chukula na maji. Kama siku moja angegeuka kuwa katili na kuamua kuwaua wote, mmoja baada… Continue reading 8/100. Je una uhuru wa kujitegemea wewe mwenyewe?.

7/100. Je unajua kwamba ipo njia la kuishi kusudi la maisha yako?

Nakukaribisha mwanamafanikio katika Kuendeleza usomaji wetu wa kitabu cha the alchemist kilichoandikwa na Paulo Coelho. Leo tunaona wazazi wake kijana Santiago, wakimtaka awe padri ambapo ingeleta heshima kwa familia yao. Maana walikuwa Wanaishi maisha ya chini ya ukulima, ambao kila siku kazi ilikuwa ngumu na lengo ilikuwa kupata chakula. Santiago alipowatembelea wazaziwe, aliamua kuwaeleza kusudi… Continue reading 7/100. Je unajua kwamba ipo njia la kuishi kusudi la maisha yako?

6/100.Safari ya kupata hazina yako.

Karibu sana mwanamafanikio, leo tunaangazia kitabu cha the alchemist kilichoandikwa na mwandishi Paul Coelho. Hadithi hii inaeleza harakati za kijana mchungaji aitwaye Santiago ambaye alikuwa anapata ndoto za kutafuta hazina yake kwenye mapiramidi ya Misri. Anakwenda kuomba ushauri kwa mtafsiri wa ndoto ambaye anamwambia aende kwenye mapiramidi hayo. Ilikuwa ngumu sana, safari yenye kila aina… Continue reading 6/100.Safari ya kupata hazina yako.

5/100. Mambo Kumi Ya Kujifunza Kutokana Na Maisha Ya Mwanasiasa, Mwanajeshi, Na Mwandishi Winston Churchill.

Nikukaribishe sana mwanamafanikio, tukiendelea kujifunza kutoka kitabu kanuni ya mafanikio ya Dr Amani Makirita. Churchill alikuwa waziri mkuu Uingereza mwaka wa (1940-1945) alisaidia kushinda vita kuu ya pili ya dunia. Tunza nguvu zako. Kutokupoteza nguvu kwenye majuto au ugomvi na kutenga muda wa kujipa raha. Churchill alitumia muda wake kufanya yaliyo muhimu, alitenga muda wa… Continue reading 5/100. Mambo Kumi Ya Kujifunza Kutokana Na Maisha Ya Mwanasiasa, Mwanajeshi, Na Mwandishi Winston Churchill.

4/100.Naendelea kusoma kitabu kanuni ya siku ya mafanikio, leo tunaangazia utulivu kwenye siku ya mafanikio.

Dr ama kocha ameshirikisha njia Mingi ya kupata utulivu wakati wa changamoto fulani. Katika ulimwengu unaozidi kelele kutoka pande zote ni vizuri sana kujitafutia utulivu wa akili, Roho na mwili. Unapopatwa na tatizo huwezi kukimbia hilo tatizo, hadi usuluhishe. Kama vile tunavyofanya wakati tunapatwa na tatizo tunajaribu kuondokana nazo kwa kutumia vilevi, ugomvi, mabishano au… Continue reading 4/100.Naendelea kusoma kitabu kanuni ya siku ya mafanikio, leo tunaangazia utulivu kwenye siku ya mafanikio.

3/100. Mbinu za kuweza kutumia akili vizuri, nilichojifunza kutoka kitabu kanuni ya siku ya mafanikio.

Kitabu hiki kimeandikwa na daktari wa binadamu, kocha wa wanamafanikio, mwandishi, mjasiriamali Makirita Amani. Nimejifunza mengi sana kutoka kitabu hiki yakiwemo,Asubuhi ya Miujiza, nisikubali Kuendelea kupoteza maisha, mambo sapa ya kufanya kila asubuhi ili niwe na siku ya ushindi, hatua za kuondoka kwenye umaskini na mengine mengi. Lakini leo nmeamua kukushirikisha Machache miongoni mwa mengi… Continue reading 3/100. Mbinu za kuweza kutumia akili vizuri, nilichojifunza kutoka kitabu kanuni ya siku ya mafanikio.

Habari wanamafanikio!! Katika changamoto ya siku 100, leo siku ya Kwanza Nmejifunza yafuatayo. Hatua nne za kujenga au kuvunja tabia nilizojifunza kutoka kitabu cha kanuni ya mafanikio. Kilichoandikwa na Dr, kocha Makirita Amani.

Ya Kwanza ni kichocheo, huchukua taarifa kwenye akili kuhusu tabia fulani. Ni taarifa ambazo akili inapata. Kinaweza kupitia kwa kuona, kusikia, kunusa au kuhisi. Kubadili, sheria ya Kwanza FANYA TABIA KUWA WAZI. Njia ya kufanya tabia iwe wazi ni 1.kuwa na ubao ambao unaandika kile ambacho unataka kufanyia kazi, unapoandika na kuona kile ulichoandika ni… Continue reading Habari wanamafanikio!! Katika changamoto ya siku 100, leo siku ya Kwanza Nmejifunza yafuatayo. Hatua nne za kujenga au kuvunja tabia nilizojifunza kutoka kitabu cha kanuni ya mafanikio. Kilichoandikwa na Dr, kocha Makirita Amani.