Umuhimu Wa Kuishi Maisha Yako.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini watu wengi wamekuwa wakifanya mambo kwa ajili ya kujijengea sifa baada ya kuondoka hapa duniani. Wanafanya kwa lengo la kukumbukwa vizazi kwa vizazi kwa majina yao kuandikwa maeneo muhimu au kuchongewa masanamu. Lakini kama ilivyo kwenye mambo mengine ya maisha, unapolazimisha kitu, huwa hakitokei. Unapofanya mambo ili… Continue reading Umuhimu Wa Kuishi Maisha Yako.

Sheria 20 Za Ukamilishaji Wa Mauzo Na Grant Gardone.

Rafiki yangu mpendwa leo tunajifunza sheria 20 za kukamilisha mauzo ili tuweze kufanya mauzo makubwa kwenye biashara zetu. 1.Kamilisha na jadiliana ukiwa umekaa. 2.Wasilisha mapendekezo yako kwa maandishi. 3.kuwa na uasilishaji unaoeleweka. 4.Waangalie machoni. 5.Mara zote kuwa na kalamu. 6.Tumia vichekesho kupunguza shinikizo. 7.Mara zote uliza zaidi. 8.kuwa na silaha nyingi za uwasilishaji ili usirudie… Continue reading Sheria 20 Za Ukamilishaji Wa Mauzo Na Grant Gardone.

Siri Kuu Ya Kufanya Makubwa.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kwenye maisha kuna siri ya kufanya makubwa. Utajiskiaje kama utakuwa unafanya makubwa kwenye maisha yako kila mara unapochukua hatua ya kufanya kitu hicho. Unaweza ukafanya makubwa kwenye maisha yako kwa kuwa na ndoto kubwa, na kwa kuanza kidogo na kuchukua hatua sasa. Kabla ya kufanya maamuzi acha… Continue reading Siri Kuu Ya Kufanya Makubwa.

Mambo 15 Ya Kuzingatia Ili Kuwa Na Nidhamu Ya Kazi Kutoka Kwa Mwandishi Patrick Bet David.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini yapo mambo ambayo tunapaswa kuzingatia kwenye maisha yetu kama tunataka kuwa na nidhamu ya kazi. Kwa sababu bila nidhamu ni ngumu sana kutimiza yale ambayo umepanga kufanya. Ninajua kabisa kuna baadhi ya mambo umekitaka kulibadili kwenye maisha yako. Kutoka kwa mwandishi Patrick Bet David tunajifunza mambo ya… Continue reading Mambo 15 Ya Kuzingatia Ili Kuwa Na Nidhamu Ya Kazi Kutoka Kwa Mwandishi Patrick Bet David.

Mambo 10 Ambayo Nimejifunza Kuhusu Ustoa.

Rafiki yangu karibu tujifunze leo kuhusu ustoa na yale tunayopaswa kufanya ili tuishi kama wastoa, karibu sana. Yafuatayo ni mambo kumi ambayo Nimejifunza; Kabla ya kufanya maamuzi, rafiki tunapaswa kuchukua hatua baada ya kujifunza mambo hayo kumi na tutaweza kuishi kama wastoa kwenye zama hizi tunazoishi. Rafiki yako, Maureen Kemei.

Yele Nimejifunza Kuhusu Ustoa.

Rafiki yangu mpendwa karibu sana, leo tunajifunza jinsi ya kuishi kama mstoa, yafuatayo ni mambo kumi ambayo nimeondoka nayo. 1.Kuonesha shukrani kwa kila mtu, kwa yale mazuri ninayopata kutoka kwao. 2. Kuwa kiongozi mwenye busara, mwenye maamuzi mazuri, asiye na haraka, na mwenye kuishi kwa uadilifu. 3. Nidhamu ni siri ya mafanikio haijalishi mazingira ni… Continue reading Yele Nimejifunza Kuhusu Ustoa.

Jinsi Ya Kuepuka Kuwa Kama Punda.

Rafiki yangu mpendwa Punda akiwekewa nyasi upande mmoja na maji upande wa pili, anajikuta njia panda. Anakuwa anataka ale nyasi na pia anywe maji. Hivyo atabaki hapo akiangalia ni jinsi gani anaweza kupata vyote kwa pamoja. Kinachotokea ni anajikuta anakufa kwa njaa na kiu wakati amezungukwa na nyasi na maji. Ambacho punda anashindwa kujua ni… Continue reading Jinsi Ya Kuepuka Kuwa Kama Punda.

Maadili 13 Ya Benjamin Franklin.

Rafiki yangu mpendwa bila shaka leo tunajifunza maadili 13 aliyochagua kuyaishi na kujipima nayo. Marafiki mambo hayo ni kama yafuatayo; Ili kuhakiksha anayaishi maadili hata 13, Franklin alichagua kuyageuza kuwa tabia kwake. Maana tabia Ina nguvu kuliko kipaji au maamuzi. Alitengeneza chati ya kujipima kila siku na kabla ya kulala alijitathmini jinsi alivyoishi maadili hayo… Continue reading Maadili 13 Ya Benjamin Franklin.

Njia Bora 3 Ya Kuboresha Kumbukumbu Zako.

Kwanza, inaboresha msisimko wako wa akili. Kubadilisha utaratibu wako kunahitaji ufanye ubongo wako ufanye kazi, ambayo husaidia kufanya mazoezi ya ubongo wako. Kujaribu mambo mapya na kubadili unachofanya, hata kitu rahisi kama kutengeneza kichocheo kipya au kujifunza ujuzi mpya. Kinahusishwa na viwango vya juu vya uwezo wa utambuzi maishani. Ina nguvu sana hivi kiasi kwamba… Continue reading Njia Bora 3 Ya Kuboresha Kumbukumbu Zako.